Mhe.
Mohamed Chande, Jaji Mkuu wa Tanzania akisaini kitabu cha wageni katika
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Washington DC, Marekani.
Mhe.
Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (Wa Tatu Kushoto)katika
picha ya pamoja na Maofisa wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC na
watumishi wengine wakati wa ziara yake Ubalozini. Wa nne Kushoto, ni
Mhe. Prof. Ibarahim Juma, Jaji wa Mahakama ya Rufaa na wa Pili kulia ni
Mhe. Aloysius Mujulizi, Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.