Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia kwenye Sherehe ya Kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu
la Dodoma Beatus Kinyaiya iliyofanyika leo Januari 18, 2015 katika
Kanisa la Mt. Paulo wa Msalaba Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Beatus Kinyaiya
baada ya kusimikwa rasmi kwenye Sherehe iliyofanika leo Januari 18, 2015
katika Kanisa la Mt. Paulo wa Msalaba Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu mbalimbali
waliohudhuria sherehe ya kusimikwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma
Beatus Kinyaiya kwenye Sherehe iliyofanika leo Januari 18, 2015 katika
Kanisa la Mt. Paulo wa Msalaba Dodoma. (Picha na OMR)
Post a Comment