Wachezaji
wa timu ya Simba wakipasha moto misuli kabla ya kukaguliwa na Mgini
Rasmin Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakati
wa ufunguzi wa michuano hiyo ilioaza leo Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wachezaji
wa timu ya Mtibwa Sigar wakipasha moto misuli kabla ya kukaguliwa na
Mgini Rasmin Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,
wakati wa ufunguzi wa michuano hiyo ilioaza leo Uwanja wa Amaan
Zanzibar.
Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na Kamisaa
wa Mchezo huo Musin Kamara, wakati wa uzinduzi wa michuano ya Kombe la
Mapinduzi yaliozinduliwa leo na Balozi Seif, katika uwanja wa Amaan.
Makamu wa
Pili wa Rais wac Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na
Wachezaji wa timu ya Simba kabla ya kuaza kwa mchezo huo wa ufunguzi
uliofanyika uwanja wa Amaan usiku leo,
Makamu wa
Pili wa Rais wac Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na
Wachezaji wa timu ya Mtibwa Sigar,kabla ya kuaza kwa mchezo huo wa
ufunguzi uliofanyika uwanja wa Amaan usiku leo,
Wachezaji
wa timu ya Simba wakisalimiana na Wachezaji wa timu ya Mtibwa Sugar
kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa ufunguzi uliofanyika uwanja wa Amaam.
Timu ya Mtibwa imeshinda bao 1--0
Kikosi
cha Simba kilichokubali kipigo cha Bao moja kwa mara ya pili mchezo wa
mwazo na Mtibwa Simba wamefungwa mabao 4--2, na leo wamekubali tena
kuwa wateja wa Mtibwa kwa kufungwa bao 1--0
Kikosi
cha timu ya Mtibwa Sugar kilichotoka kifua mbele dhidi ya ushinda wa
Bao 1--0 dhidi ya timu ya Simba wakati wa mchezo wa ufunguzi wa Kombe la
Mapinduzi uliofanyika usiku huu uwanja wa Amaan Zanzibar.
Post a Comment