0
Matamasha mbalimbali hufanyika mwisho wa mwaka, wapenda burudani kujumuika pamoja, lakini huenda kuna waliokwazika kwa kukosa burudani walioitarajia.
chris-brown
Imekuwa ikijitokeza mara nyingi wasanii kupata dharura na kuahirisha shows mbalimbali, imemkuta Chris Brown ambaye alitarajiwa kupiga show siku ya mkesha wa mwaka mpya, Philipines.
Dakika chache kabla ya kuanza safari aligundua kwamba amepoteza passport yake hivyo ikabidi aahirishe safari hiyo ambapo waandaaji wa show hiyo, Maligaya Development Corp. walithibitisha kupewa taarifa za Chris kupoteza passport yake hivyo ikabidi waahirishe tukio zima.
Chris Brown aliandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwaomba radhi; “Due to unfortunate circumstances i can’t bring in the new year with you. Too bad since the Philipines Arena is one of the best arenas in the world! Stay tuned Team Breezy!!!!! #TeamBreezyManila i’ll see you in spring!”–@

Post a Comment

 
Top