Hii ndio
baiskeli kubwa zaidi duniani kuwahi kutokea imetengenezwa huko nchini
denmark na huyo mzee imeingia katika Guiness World Record 2014.
Pikipiki
kubwa zaidi Duniani, imetengenezwa huko nchini Marekani lakini bado
haidaanza kuwa na uwezo wa kutembea ila imeingia katika Guiness World
Record 2014.
Huyu Jamaa ameingia kwenye Guiness World Record 2014 ya mwaka huu kwa kula pilipili kali 5000 ndani ya saa moja, ni mmarekani.
Mwendesha
baiskeli huyu apandidha ghorofa lenye floo 88 kwa kutumia baiskeli yake
hiyo nae ameingia mwenye kitabu cha Guiness World Record cha mwaka
2014.
Ng'ombe
mwenye mapembe marefu zaidi duniani huyo nchini Australia, ana mapembe
yenye urefu wa 277cm, ameingia kwenye Guiness World Record 2014 na
kuwekwa kwenye kitabu chao.
Kampuni
ya mbao nchini marekani imetengeneza mtego wa panya mkubwa zaidi duniani
na kuingia katika Guiness World Record 2014. Mtego huu unafanya kazi
kama ukitegwa na ni hatari sana unaweza kumuua hata binadamu.
Kampuni
ya bia ya Guiness inchini Afrika ya Kusini imeingia kwenye Guiness World
Record ya mwaka 2014 baada ya kutengeneza glasi kubwa ya Guiness ambayo
ndani yake waliweka kinywaji cha bia yao ya Guiness yenye ujazo wa lita
1499.
Timu ya
taifa ya Nigeria imeinga kwenye Guiness World Record 2014 baada ya
kutengeneza jezi ya timu yao ambayo ndio jezi ya timu ya taifa kubwa
zaidi duniani
Post a Comment