
Siku
kadhaa baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), kuifungia Kampuni ya
Lino International kuendesha mashindano ya Miss Tanzania kwa miaka
miwili, Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Hashim Lundenga amesema hatua hiyo
imefikiwa kutokana na shinikizo kutoka kwa baadhi ya watu wenye dhamira
ya kuitoa kwenye mstari wa mafanikio sanaa ya urembo nchini. Lundenga
alisema uamuzi wa BASATA ni utekelezaji wa dhamira ya wachache walioamua
kuhakikisha Miss Tanzania inapotea kwenye ramani ya burudani nchini.
Nini maoni yako kutokana na kauli hiyo ya Lundenga
Post a Comment