Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la pili Augustino
Stephene Ramadhan katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu
Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa
Tanzania Bara jana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la pili Ali Salum
Ahmed katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar
es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara
jana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la pili Mohammed Fakih
Mohammed katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu Jijini
Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania
Bara jana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la tatu Amani Issack
Abraham Sepetu kwa niaba ya Baba yake Issack Abraham Sepetu (marehemu)
katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es
Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara
jana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la tatu Ali Ameir
Mohamed katika hafla kutunuku nishani iliyofanyika viwanja vya Ikulu
Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa
Tanzania Bara jana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la nne Haji Machano
Haji katika hafla kutunuku nishani iliyofanyika viwanja vya Ikulu Jijini
Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania
Bara jana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la nne Bibi Johari
Yussufu Akida katika hafla kutunuku nishani iliyofanyika viwanja vya
Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru
wa Tanzania Bara jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kutoka kushoto) Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mzee Ali Hassan Mwinyi (katikati) na Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo
Pinda wakiwa hafla kutunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya
Muungano iliyofanyika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na
maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.[Picha na
Ikulu.]
Waliotunukiwa Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la
Pili ni Adam Sapi Mkwawa (marehemu), Erasto Man’genya (marehemu), Pius
Msekwa, Samuel Sitta, Francis Nyalali (marehemu), Augustino Ramadhani,
Timoth Apiyo (marehemu), Paul Rupia, Ali Salum Ahmed na Mohammed Fakih
Mohammed.
Waliotunukiwa Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Daraja la
Tatu ni Peter Kisumo, Anna Abdallah, Kingunge Ngombare-Mwiru, Isaack
Sepetu (marehemu), Alli Mzee Alli (marehemu), Brigedia Jenerali mstaafu
Adam Mwakanjuki (marehemu). Ali Ameir Mohamed, Al-Noor Kassum, Jenerali
mstaafu Ernest Kiaro (marehemu), Solomon Liani (marehemu), Augustine
Mahiga, Phillemon Mgaya, Ambindwile Mwaijande (marehemu) na Simeon
Mwanguku.
Waliopewa Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Nne ni
Sophia Kawawa (marehemu), Haji Machano Haji, Johari Yusufu Akida na
Bendi ya Atomic Jazz. Jenerali mstaafu David Musuguri alipewa Nishani ya
Operesheni Safisha Msumbiji huku Kassim akipewa nishani ya ushupavu.







Post a Comment