Viongozi wa Dini wakimuombea dua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
wakati walipomtembelea kumjulia hali na kumuombea ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya viongozi
wa dini mbalimbali waliomtembelea na kumjulia hali pamoja na kumuombea
dua ikulu jijini Dar es Salaam

Picha ya pamoja
Post a Comment