alisema.Ngawaje
alisema matunda hayo ameyapata baada ya gazeti hili la Machi 11, mwaka
huu kutoa habari yake ukurasa wa 15 akielezea matatizo yake, watu
mbalimbali walimchangia fedha kwa ajili ya matibabu.
INGAWAJE
Said (38), mkazi wa Bagamoyo kwa Mtoro, Pwani ambaye aliteseka na uvimbe
mkubwa usoni kwa miaka 12 sasa amepona baada ya kufanyiwa upasuaji
katika Hospital ya CCBRT iliyopo jijini Dar.
Muonekano wa uvimbe aliokuwa nao kabla ya kufanyiwa upasuaji. “Halafu akajitokeza mfadhili mmoja ambaye alitoa fedha zote za kufanyiwa upasuaji ambapo upasuaji wa kwanza alifanyika Julai 15, mwaka huu na wa pili Oktoba 30, mwaka huu.
Post a Comment