
Kwa wale mashabiki wote wa Super Star na mshindi wetu Diamond Platnumz habari ni kwamba leo saa nane mchana Rais wa Wasafi anarudi nyumbani na zile tuzo 3. Sasa mnaonaje
mkajumuikana sisi kumpokea pale Airport ili tusherekee huo ushindi pamoja naye? Njooni tumuonyeshe ni kwa jinsi gani tunampenda na kuithamini kazi yake. #Twajivunia kuwa watanzania

Post a Comment