
msanii wa muziki wa bongofleva Young Dee
Young
Dee amesema haya katika moja ya mahojiano yetu pamoja naye, kama njia
ya kuonyesha jamii faida chanya za mitandao ya kijamii, na pia nguvu ya
kujitengenezea ushawishi kwa watu wengi zaidi, hatua ambayo ni fundisho
kwa mashabiki kutumia mitandao hii vizuri.
Post a Comment