Akijibu
swali la Mbunge wa Tabara ambae pia aliwahi kuwa Rais wa Klabu ya Simba
Mh. Ismail Aden Rage, Naibu waziri wa Michezo na Utamaduni Mh. Juma
Nkamia amesema serikali itakaa na bodi ya ligi ili kulitatua tatizo
hilo.
Mh. Nkamia ameongeza kuwa kwa sasa serikali ipo katika mchakato wa kuweza kupunguza mapto hayo ili kuweza kusaidia kukuza vilabu vya soka nchini Tanzania na kuweza kujiendesha vyenyewe kwa kiasi kikubwa.

Post a Comment