Akizungumza
jijini Dar es salaam,Mkurugenzi wa mashindano wa Shirikisho la Soka
nchini TFF,Boniface Wambura amesema kikosi hicho kilicho chini ya Kocha
Mart Nooij kimepokelewa na Ofisa Mtendaji mkuu wa Chama cha Mpira wa
Miguu nchini Swatsland.
Wambura amesema mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa saa tisa na nusu kwa saa za Swatsland huku kwa hapa nchini ikiwa ni saa kumi na nusu.
Wambura amesema mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa saa tisa na nusu kwa saa za Swatsland huku kwa hapa nchini ikiwa ni saa kumi na nusu.
Post a Comment