Akizungumza
jijini Dar es salaam,Mkurugenzi wa mashindano wa Shirikisho la Soka
nchini TFF,Boniface Wambura amesema usajili huo wenye maana ya
kuimarisha vilabu,vilabu vinatakiwa kusajili kutokana na idadi ya
wachezaji walionao.
Wambura amesema timu zinatakiwa kuwa na wachezaji wasiozidi 30 na wasiopungua 18 hivyo kama timu itakuwa na idadi kubwa ya wachezaji haitaruhusiwa kufanya usajili huo utakaokamilika Desemba 15.

Post a Comment