
wasanii wa bongofleva nchini Shetta akiwa na Diamond
Shetta
amesema kuwa kazi hii imeweza kuvifikia vituo vikubwa vya
kimataifa na hivyo kumtoa ngazi moja hadi nyingine kisanaa, na vilevile
msanii huyu amesema Shikorobo ndiyo kazi yake mpya ambayo itamhusu yeye
na pengine msanii mkubwa wa kimataifa ambaye hakuwa tayari kumtaja.
Post a Comment