0
Aliyekuwa staa wa muziki wa Bongofleva kabla ya kuamua kuachana na muziki huo na kumtumikia Mungu, Msanii QJ baada ya kimya kirefu ametangaza ujio wake mpya katika muziki kwa upande wa Gospel.
msanii wa muziki wa bongofleva ambaye sasa anafanya gospel QJ
QJ amesema kuwa, baada ya kubadili maisha yake alikuwa mtoto mdogo kiimani, akiwa sasa amekuwa kiroho na tayari kwa ajili ya kuanza kumtumikia Mungu kimuziki.
Kwa sasa msanii huyu anaendesha maisha yake kwa kufanya Ufundi, fani yake kubwa ikiwa ni uchomeleaji.

Post a Comment

 
Top