Waziri
wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk akizungumza na
Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bi. Malika Berak alipomtembelea
Ofisini kwake Kikwajuni. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Ofisa
Ubalozi wa Ufaransa anaeshughulikia Ushirikiano na Utamaduni Philippe
Boncour akisisitiza jambo katika mazungumzo na Waziri wa Habari
Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk (hayupo pichani) Ofisini kwake
Kikwajuni.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Waziri
wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk akimkabidhi
zawadi ya kanga Balozi Malika baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika
Wizarani kwake Kikwajuni. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment