Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdulwakil wa pili
kutoka kushoto akimsikiliza Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw.Adoh
Mapunda muda mfupi kabla ya Bw. Mapunda kufungua kikao cha Baraza la
Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kilichoanza leo jijini
Arusha katika hoteli ya Corridor Springs Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdulwakil wa tatu
kutoka kulia akimkaribisha Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw. Adoh
Mapunda kwenda kufungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi kilichoanza leo jijini Arusha katika hoteli ya
Corridor Springs, wa kwanza kutoka kulia ni Naibu Mkuu wa Jeshi la
Polisi nchini, Abdulrahman Kaniki anayefuatia ni Kamishna Mkuu wa Idara
ya Uhamiaji Sylivester Ambokile .
Katibu
Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw. Adoh Mapunda wa kwanza kutoka kulia
akifurahia jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mbarak Abdulwakil baada ya Bw. Mapunda kufungua kikao cha Baraza la
Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kilichoanza leo jijini
Arusha katika hoteli ya Corridor Springs. Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdulwakil wa pili
kutoka kulia akiimba wimbo wa Solidarity Forever pamoja na wajumbe wa
Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wa pili
kutoka kulia ni Katibu wa Baraza hilo la Wafanyakazi la Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi Jenitha Ndone.Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi limeanza leo jijini Arusha katika hoteli ya Corridor
Springs.
Sehemu
ya wajumbe wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi wakiimba wimbo wa Solidarity Forever wakati wa kikao
hicho, kinnachoendelea jijini Arusha katika hoteli ya Corridor Springs,
wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Jamii
Fidelis Mboya.
Sehemu
ya wajumbe wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi wakishiriki kikao hicho kinachoendelea jijini Arusha
katika hoteli ya Corridor Springs, wa kwanza kutoka kushoto ni Avelin
Momburi ambaye ni Mkurugenzi wa Utawala na Fedha Mamlaka ya Vitambulisho
vya Taifa (NIDA).
Post a Comment