Kufuzu kwa Ivory Coast kucheza fainali za Africa mwakani kumegubikwa
na tukio la mashabiki wa nchini humo kuvamia uwanja kwa furaha baada ya
kumalizika mchezo huo dhidi ya Cameroon uliomalizika kwa sare 0-0 huko
Abidjan.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment