Sehemu ya mabaki ya Helikopta baada ya kuanguka Ajali
ya Helicopter ambayo imedaiwa kuwa ni ya Maliasili na Utalii imegharimu
maisha ya marubani 3 wa Jeshi la Polisi Tanzania. Sp Kidai Kaluse,
Insp.Simba Must Simba, Pc. Josso Selestine, Na rubani mmoja Capt.
Khalfan,Ajali hiyo imetokea huko Kipunguni B Moshi Bar,Ukonga-Ilala
jijini Dar es Salaam. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikaa mpaka
sasa.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova
akifafanua jambo mbele ya Vyombo vya habari katika eneo la ajali,kufuatia kutokea kwa ajali hiyo iliyopelekea vifo vya watu wanne
akifafanua jambo mbele ya Vyombo vya habari katika eneo la ajali,kufuatia kutokea kwa ajali hiyo iliyopelekea vifo vya watu wanne
Mkuu
wa Mkoa wa Dar Es Salaa,Mh.Sadick Meck Sadick akizungumza mbele ya
Vyombo vya habari katika eneo la ajali,kufuatia kutokea kwa ajali hiyo
iliyopelekea vifo vya watu wanne
Baadhi ya Wataalamu wakifanya uchunguzi wa chanzo cha ajali hiyo ya Helikopta.
Baadhi
ya Watu wakishuhudia mabaki ya helikopta hiyo iliyopata ajali maeneo ya
Kipunguni B Moshi Bar,Ilala jijini Dar es Salaam.
Post a Comment