Waokoaji wamekuwa wakipambana na
upepo mkali pamoja na mawimbi ya bahari gizani kuwakoa karibu abiria 300
ambao wamekwama ndani ya ferry moja ya Italia iliyokuwa imeshika moto
kwenye bahari ya Adriatic.Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama
Waokoaji wamekuwa wakipambana na
upepo mkali pamoja na mawimbi ya bahari gizani kuwakoa karibu abiria 300
ambao wamekwama ndani ya ferry moja ya Italia iliyokuwa imeshika moto
kwenye bahari ya Adriatic.
Post a Comment