Mwanasiasa
Mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru akimpongeza Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete muda mfupi baada ya kulihutubia taifa kwa kupitia wazee wa Dar
es Salaam leo katika ukumbi wa Diamond jijini Dar es Salaam jana.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mbunge wa Kionondoni Iddi
Azzan muda mfupi baadaya baada ya kulihutubia taifa kwa kupitia wazee wa
Dar es Salaam leo katika ukumbi wa Diamond jijini Dar es Salaam jana.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wananchi wakati akiwaaga
leo mara baada ya kuzungumza na taifa kupitia wazee wa Dar es
Salaam.
Baadhi
ya wananchi waliojumuika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es
Salaam kusikiliza hotuba ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo
alipozungumza na taifa kupitia wazee wa Dar es Salaam
Post a Comment