Hii ndio picha aliyopost Martin Skrtel kwenye mtandao wa Instagram ikionesha nyuzi nane alizoshonwa.

Ilimchukua takribani dakika 6 Martin Skrtel kutibiwa jeraha lake.
Baada ya matibabu Skrtel alirejea mzigoni na kuisawazishia timu yake ya Liverpool.
Post a Comment