0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mkusa Issack Sepetu kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Halima Maulid Salum kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya katika hafla iliyofanyika  Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.

Post a Comment

 
Top