0
Tyga Ajibu Mapigo Kwa Drake
Lile beef la wasanii wawili wanaotokea kundi moja la YMCMB Drake na Tyga linazidi kuchukua sura tofauti baada msanii Tyga kujibu mapigo kwa kuonesha picha mitandaoni akiwa na mpenzi wa zamani wa rappa drake.
Ikiwa ni siku chache tangu Drake kumdhihaki Tyga kw kupost picha zinaozonekana wakisifiana na aliekua mpenzi wa Tyga aitwae Black Chyna rapper Tyga nae amejibu mapigo hayio kwa kuwka mitandaoni picha amazo anaonekana akiwa na mpenzi wa zamani wa Drake aitwae Dollicia Bryan.
Taarifa zinasema kua Tyga amekubaliana pia kumtumia mrembo huyo katika video yajke ya wimbo uitwao “Make It Work”ambao ndani yake una mashairi yanayomponda drake
Wiki chache zilizopita malumbano baina ya marappa hao wawili yalianza baaga ya Tyga kusema wazi kua hampenmdi Drake na kua anapenda tu kazi zake huku akisema sababu kubwa ya kutompenda Drake ni kua ni mnafiki na si mshikaji wa kweli.

Post a Comment

 
Top