
Ofisa Ubalozi wa Ufaransa anaeshughulikia Ushirikiano na Utamaduni Philippe Boncour akisisitiza jambo katika mazungumzo na Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk (hayupo pichani) Ofisini kwake Kikwajuni.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk akimkabidhi zawadi ya kanga Balozi Malika baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Wizarani kwake Kikwajuni. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Post a Comment