Sehemu
ya wajumbe wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi wakiimba wimbo wa Solidarity Forever wakati wa kikao
hicho, kinnachoendelea jijini Arusha katika hoteli ya Corridor Springs,
wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Jamii
Fidelis Mboya.
Sehemu
ya wajumbe wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi wakishiriki kikao hicho kinachoendelea jijini Arusha
katika hoteli ya Corridor Springs, wa kwanza kutoka kushoto ni Avelin
Momburi ambaye ni Mkurugenzi wa Utawala na Fedha Mamlaka ya Vitambulisho
vya Taifa (NIDA).
Post a Comment