0
Ramsey Nouah ameoa na ana watoto watatu ila mtoto wake wa kwanza alizaa kabla ya kuoa na anaishi Marekani, mkewe anaitwa Emily na amezaa nae watoto wawili yaani Quency na Camili kama unavyoona katika picha hapo juu.
Ramsey Nouah ameoa na ana watoto watatu ila mtoto wake wa kwanza alizaa kabla ya kuoa na anaishi Marekani, mkewe anaitwa Emily na amezaa nae watoto wawili yaani Quency na Camili.
Muigizaji mashuhuri wa Nollywood, Ramsey Nouah, ametekeleza alichoambiwa na mashabiki wake kwa kujiunga na masuala ya siasa.
Katika mazungumzo yake na Nigeriafilms, Ramsey alisema kazi ya siasa angeweza kuikataa ila mashabiki wake wanataka awe mwanasiasa.

Post a Comment

 
Top