Rapa
mkali kabisa kutoka Uganda, Navio ambaye kwa sasa yupo hapa nchini
Tanzania kwa shughuli za kimuziki, amewataja wasanii Shaa, Diamond, Joh
Makini, Izzo Business, Vanessa Mdee na AY kama wasanii kutoka hapa Bongo
ambao anawakubali zaidi.

msanii wa nchini Uganda Navio
Navio
ameiambia eNewz kuwa, kazi za wasanii hawa pamoja na moyo wao katika
kazi ni kati ya vitu vinavyomfanya kuwaelewa zaidi pamoja na kufurahia
kazi zao.
Rapa huyo pia ameweka wazi uwezekano wa kufanya kolabo na wasanii kutoka hapa Tanzania, akiwa tayari katika maongezi ya awali na msanii Izzo Business.
Rapa huyo pia ameweka wazi uwezekano wa kufanya kolabo na wasanii kutoka hapa Tanzania, akiwa tayari katika maongezi ya awali na msanii Izzo Business.
Post a Comment