Modric mwenye umri wa miaka 29 sasa aliumia kwenye kipindi cha kwanza cha mchezo wa jana kuwania kufuzu kwa fainali za kombe la mataifa ya Ulaya, Euro 2016 kati ya Italy na Croatia, ulioishia kwa sare ya 1-1.

MODRIC ATAKUTANA NA KISU HIKI
Kiungo huyo ambae amekuwa mhimili mkuu wa Real Madrid msimu huu,
amepata tatizo kama hili… a tear in the left proximal rectus femoris
tendon.”
HILO NDIO TATIZO KAMA ALILOPATA MODRIC
Kunako dakika ya 28, kwenye uwanja wa San Siro, Luka aliomba
kubadilishwa baada ya kusikia maumivu makali kwenye misuli yake ya mbele
ya paja…Swali hapa ni moja tu, Kutokwepo kwake kwenye sehemu ya kiungo ya Real Madrid kutapunguza nguvu kiasi gani???…
Post a Comment