0

Marc Anthony Na Jennifer
 Mwanamuziki Jennifer Lopez Amejikuta Akiwa Katika Wakati Mgumu Baada Ya Aliekuwa Mumewe Marc Anthony Kumvalisha PeteMsichana Mwingine Anaejulikana Kwa Jina La Shannon De Lima.
 
Jennifer Ameliambia    Gazeti La   New York Post Kuwa I'm happy for him,''I am totally single. It's not going to be forever. Someone great will come along,Hayo Ndiyo Aliyoyasema Jlo Na Kusisitiza Kwamba Kila Mtu Anaendelea Na Maisha Yake Na Kila KituKwa Wakati.

Marc Anthony Na Girlfriend Wake Shannon

Post a Comment

 
Top