0

Hatimaye Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amewasilisha bungeni ripoti ya uchunguzi kuhusu kashfa ya uchotwaji wa Sh bilioni 200 katika akaunti ya Escrow, iliyokuwa imefunguliwa Benki Kuu ya Tanzania BoT).
Taarifa za kuwasilishwa kwa ripoti hiyo zilitolewa jana bungeni saa 2:00 kasoro usiku na Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Zungu.
Zungu alisema Waziri Mkuu Pinda aliwasilisha ripoti hiyo kwa Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashillilah.

Post a Comment

 
Top