Rais wa
Kenya, Uhuru Kenyatta akisaini kitabu cha maombolezo alipokwenda kuhani
msiba wa mtoto wa Raila Odinga, Fidel Odinga aliyefariki jana. Kulia ni
mke wa Odinga, Ida Odinga.
Rais Uhuru Kenyatta akimpa pole mjane wa marehemu Fidel Odinga, Lwam Getachew Bekele nyumbani kwao Karen, Kenya.
(Picha zote kwa Hisani ya Uhuru Kenyatta Facebook Page)


Post a Comment