0
Hivi karibuni wapenzi Chris Brown na Karrueche Tran wameteka vichwa vya habari kwa kugombana kwenye mitandao na kurushiana vijembe kuhusu mapungufu ya uhusiano wao na nani anasababisha.
Jipya kuhusu hawa ndege wawili ni kwamba walikutana kwenye mkesha wa Krismass na kuongea machache kuhusu mahusiano yao na baadae kukubali kukutana tena.
Watu wa karubi ni Chris wanasema amekuwa akijaribu kurudiana na kumuomba msamaha mpenzi wake Karrueche bila kufanikiwa kwani Tran alikuwa na hasira kila mara akimfikiria Chris.
Maongezi ya mwisho waliyofanya Chris Brown na Karrueche yalikuwa siku ya alhamisi walipokutana kwenye pati ya X Mass ya Sean Kingston na inasemekana waliondika pamoja baada ya pati kuisha. Hizi picha zinawaonyesha pamoja.

chris-brown-and-karrueche-sunofhollywood-4
453-480w 459-480w 464-480w 468-480w

Post a Comment

 
Top