0
boxing-glove
Moja ya watu walioweka comment zao baada ya kuiona video hii amesema hivi; …Anyway, tusimhukumu mara zote kwenye njia negative kutokana na namna tulivyomzoea, huenda hakuwa kwenye mood…
Kitendo alichokifanya staa wa Muziki Marekani Rihanna alipokuwa akitoka katika onyesho la mavazi 2014 British Fashion Awards  kinaweza kikamgharimu kwenye kurasa za magazeti ya udaku duniani baada ya kumpiga mpiga picha aliyekuwa busy kumpiga picha staa huyo wakati anatembea kutoka nje ya ukumbi lilipofanyika onyesho hilo.
The BadgalRiri alikuwa anaelekea kwenye gari yake na hakuonekana kama alifurahishwa na mapaparazzi hao kumzonga mbele, hivyo akafanya maamuzi ya kumpiga mpiga picha mmoja.
Wapo wanaotafsiri kitendo hicho kama hasira na wengine wanadhani huenda hakuwa kwenye mood poa kukutana na flashlight ya kamera kwa wakati huo.
Hii ni post yake ya mwisho kwenye ukurasa wake wa Instagram, ukiitazama utapata jibu mtu wangu kama ile ngumi ni bahati mbaya au makusudi.
Riri

Post a Comment

 
Top