
Theluji
iliyoanguka siku ya Jumanne kuamkia Jumatano mji wa Baffalo jimbo la New
York theluji iliyokanguka ilifikia futi 5 imesababisha vifo vya watu
watano, wawili kati yao wamepoteza maisha kutokana na ajali za magari
yao kuseleleka na wengine watatu wamekufa kutokana heart Attack. Pichani
ni mkaazi wa Baffalo akijaribu kuparua theluji hiyo kabla haijaganda na
kuwa barafu.
Mgari
mengi yaliripotiwa kukwama kwenye mabarabara kutokana na theluji hiyo
ilivyodondoka nyingi kwenye mwezi huu wa Novemba ambapo watabiri wa hali
ya hewa wametabiri kuwepo na baridi kali kwenye kipindi hiki cha baridi
na tayari maeneo mengi yameishaanza kupata salamu ya baridi hiyo.
Theluji ilivyotanda kwenye barabara mitaa ya Baffalo, jimbo la New York.

Magari ya kukwangua theluji yakiwa kazini mji wa Lancaster, New York

Mji wa Grand Rapids, Michigan, ukiwa umemezwa na theluji.
Post a Comment