![]() |
| Solange Na Mme Wake Alan Ferguson |
Harusi Ya Aina Yake Ambayo Ilikuwa Ni Ya Kawaida Sana Bibi Harusi Hakutaka Mambo Makubwa Mambo Yalifanyika Katika Jumba La Zamani .
Maharusi Walifunga Ndoa Humo Na Baada Ya Hapo Hawakupanda Gari La Kifahari Kama Wengine Wanavyofanya Waliamua Kupanda Baiskeli Ambapo Kila Mmoja Aliendesha Yake.










Post a Comment