
***Liverpool haina msimu mzuri..
** Daniel Sturridge aumia tena mazoezini…
**Kuna mashaka kuwa atakuwa nje hadi Januari…

**Alipiga bao 14 katika maandalizi ya msimu mpya,,,achana na ule uliopita akiwa na Suarez..
**Sasa Liverpool ya 11 katika msimamo..na ni kama imekwishaaga Champions League…

Alitarajiwa kurejea kwenye mechi yake ya kwanza Jumapili hii dhidi ya
Crystal Palace, lakini anasemekana kuumia tena paja, na leo Jumatano
vipimo vyake vitatoka kujua kuwa ameumia kiasi gani…
Post a Comment