Kiongozi wa familia kubwa ya muziki nchini mkubwa na wanawe
Saidi fellah anasema anafurahia kuona mabadiliko makubwa ya kimuziki
ambayo kundi lake la Yamoto Band yamelipata pamoja na ukweli kua
limebadili upepo kwa baadhi ya wasanii wa bongofleva walioamua kufanya
muziki wa bendi.
Akizungumza fellah amesema kua anafurahi kuona kua kundi la Yamoto Band limerudisha ladha na ushindani wa muziki wa band nchini na kusema kua inampa moyo kuona kitu alichokisimamia kikikleya faida kwa jamii ya wanazmuziki
“Kama tumefanya kitu na watu wengi wamekipokea na wengine wakaona kama itawapatia nusura kwa kupitia idea hyo nawakaribisha tushindane “ amesema Fellah
fellah amesema pia kua wanaendelea kujiandaa kutoa nyimbo nyingi na nzuri zaidi li kudhihirisha ni kwa jinisi walijipanga
Yamoto Band wanatarajia kuachia nyimbo mpya mapema mwaka ujao

Post a Comment