msanii wa muziki wa nchini Nigeria Tuface Idibia akiwa na mkewe Anne
2Face
amesema kuwa, haukuwa mpango wake kupata watoto kutoka kwa mama tofauti
tofauti, lakini ni kitu ambacho kimekwishatokea, hivyo imempasa
kukubaliana na kuishi nacho.
Msanii huyu kwa sasa amemuoa Annie Macaulay Idibia, huku watoto wake wengine wakiwa ni kutoka kwa Sumbo Ajaba ambaye sasa ameolewa na mume mwingine, na mama mwingine akiwa ni Pero Adeniyi.
Msanii huyu kwa sasa amemuoa Annie Macaulay Idibia, huku watoto wake wengine wakiwa ni kutoka kwa Sumbo Ajaba ambaye sasa ameolewa na mume mwingine, na mama mwingine akiwa ni Pero Adeniyi.

Post a Comment